Kuna beshte wangu hutoshana hippo, vile anafit kwa hiyo gari ata sijui. Jamaa anatokeanga, then ukiona mtu anashuka from the car, inabidi umeenda kuchungulia ndani ya hiyo gari tena kuconfirm kama kuna an extra space inside apart from what you can see from outside πππ€£
@ignyharaz2Kuna watu wako na gari za 650CC . Zinakunywa mafuta kama Tuktuk.
Jamaa kutoka Machakos hadi Busia anaeka 3k bila stress na anafika na bado haijawasha mataaa.